The CCAP encounter trip was privileged to meet with the H.E. Hassan Iddi Mwamweta @hassanimwamweta - Ambassador of the United Republic of Tanzania in Germany and Tanzania Minister of Water and Irrigation honorable Mr. Jumaa Hamidu Aweso @jumaa_aweso at Germany. A team of six (6) led by Deputy General secretary of the diocese Mrs. Adria Erasmi @erasmiadria from ELCT-ELVD and Mrs. Uli Eder @uli.eder from ZMOe had an insightful discussion on the climate justice and partnership initiatives conducted by the project in both countries, challenges encountered, support from the government and future opportunities in the area of renewable sources of energy. Ziara ya mradi wa CCAP ilibahatika kukutana na Mhe. Hassan Iddi Mwamweta @hassanimwamweta - Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ujerumani na Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhe.Jumaa Hamidu Aweso @jumaa_aweso nchini Ujerumani. Timu ya watu sita (6) wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Dayosisim Bi.Adria Erasmi @erasmiadria kutoka KKKT-ELVD na Bi. Uli Eder @uli.eder kutoka ZMOe walikuwa na majadiliano ya kina kuhusu usawa wa tabianchi na mipango ya ushirikiano inayofanywa na mradi katika nchi zote mbili, changamoto. Zinaikabili, Ushariki na usirikishwaji wa serikali na fursa za siku zijazo katika eneo la nishati jadidifu (mbadala). @jumaa_aweso @hassanimwamweta @nordkirche #elctelvd #_ashatours #lead.tz #oekumenewerk_nordkirche #climate #climatechange