Wanawake waombolezaji Mkoa wa Mwanza katika Maombi ya Pamoja wakishirikiana na baadhi ya wanaume waliopata neema ya kushiriki Kongamano la maombi lililo-ongozwa na Mwalimu Christopher na Diana Mwakasege katika Kanisa la KKKT-imani Kanisa Kuu Tarehe 01 & 02/04/2023