IBADA YA KUMWINGIZA KAZINI MKUU WA JIMBO LA MWANZA MASHARIKI

Ibada iliyoongozwa na Mh. Baba Askofu Adrew Petro Gulle Mkuu wa KKKT-DMZV Jumapili tarehe 19/03/2023 katika Usharika wa makao makuu ya Jimbo Bethlehem Pongezi nyingi kwa Mchg. Obadiah Rulalile: Utumishi mwema shambani mwa Bwana.