KAMATI MKUTANO MKUU MAALUM XVI JULAI 26,2024

Pongezi za dhati kwa Kamati nzima ya Maandalizi Mkutano Mkuu Maalum wa XVI Uchaguzi wa Askofu na Msaidizi wa Askofu. #Kamati ya Habari, Mawasiliano na Ukaribishaji DMZV #Kamati ya Habari, Mawasiliano na Ukaribishaji Usharika wa Ebenezer Pasiansi #Watumishi Ofisi Kuu DMZV