Mkutano wa LMC-Lutheran Mission Cooperation

on 5 October 2022 at KKKT-DMZV IMANI KANISA KUU

church event

KKT-DMZV

imepata nafasi ya kuwa mwenyeji wa mkutano huu ambao wajumbe wake ni maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na wawakilishi wa vyama vya misioni vya Ulaya na Marekani.

Ibada ya ufunguzi itafanyika 05/10/2022

Imani Kanisa Kuu saa 02:30-03:15 Asubuhi. Wote mnakaribishwa

 

EVENT DETAILS
5 October 2022
08:30 AM
KKKT-DMZV IMANI KANISA KUU

UPCOMING EVENTS

Dec 3

Maafali ya 11 ya wanafunzi katika chuo cha biblia cha kilutheri Dayosisi mashariki ya ziwa Victoria

Saturday 12:10 PM

Details →

Oct 5

Mkutano wa LMC-Lutheran Mission Cooperation

Wednesday 08:30 AM

Details →