SEMINA YA WANAWAKE WOTE JIJINI MWANZA

on 11 June 2022 at KKKT-IMANI KANISA KUU

church event

Kitengo cha wanawake na watoto KKKT-DMZV chini ya Idara ya Jinsia na Maendeleo imeandaa semina kwa wanawake wote jijini Mwanza.

Somo litakalofundishwa ni "kumuimarisha mwanamke aendelee kutambua wajibu wake katika Kanisa, Familia, Jamii na Taifa. kutakuwa na maombezi pia.Mnenaji aliyendaliwa ni Mr. GORDIAN NEWTON

EVENT DETAILS
11 June 2022
08:00 AM
KKKT-IMANI KANISA KUU

UPCOMING EVENTS

Jun 11

SEMINA YA WANAWAKE WOTE JIJINI MWANZA

Saturday 08:00 AM

Details →