Msaidizi wa Askofu Dean Stephen Ling'hwa amefungua kikao cha Halmashauri ya Fedha Dayosisi leo Aprili 16, cha kikatiba cha kupitia rasimu ya hesabu za Dayosisi ya mwaka 2025 na vituo pamoja na utekelezaji wa mpango kazi wa mwaka 2025 katika Ukumbi wa Chuo cha Biblia cha Kilutheri Nyakato Kikao hiki ni muhimu sana kwani kinatoa nafasi ya wajumbe kuomba kazi zilizofanyika kwa mwaka 2025 pamoja kutoa dira ya mwaka 2026 kwa maendeleo ya Dayosisi