Programs & Events

List of Upcoming Events and Programs

EVENT DETAILS
11 June 2022
08:00 AM
KKKT-IMANI KANISA KUU

SEMINA YA WANAWAKE WOTE JIJINI MWANZA

Kitengo cha wanawake na watoto KKKT-DMZV chini ya Idara ya Jinsia na Maendeleo imeandaa semina kwa wanawake wote jijini Mwanza. Somo litakalofundishwa ni "kumuimarisha mwanamke ae...

Event Details →

EVENT DETAILS
5 October 2022
08:30 AM
KKKT-DMZV IMANI KANISA KUU

Mkutano wa LMC-Lutheran Mission Cooperation

KKT-DMZV imepata nafasi ya kuwa mwenyeji wa mkutano huu ambao wajumbe wake ni maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na wawakilishi wa vyama vya misioni vya Ulaya na Marekani....

Event Details →

EVENT DETAILS
3 December 2022
12:10 PM
Eben-Ezer Pasiansi

Maafali ya 11 ya wanafunzi katika chuo cha biblia cha kilutheri Dayosisi mashariki ya ziwa Victoria

Maafali ya 11 katika chuo cha biblia cha kilutheri Nyakato Mwanza KKKT-DMZV

Event Details →

Mission Statement

ELVD endeavours to spread the gospel of Jesus Christ, through word and deed, to serve all people in the regions of Mwanza, Geita regions.