Pichani: Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa Mkuu wa KKKT, akimtambulisha Askofu Oscar Itael Lema na Msaidizi wake Dean Mchg. Stephen Ling’wa John kwa Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo mwakilishi wa Mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa