IBADA YA KUWAAGA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU WALIOMALIZA MUDA WA UTUMISHI

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya KKKT-Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria waliomaliza muda wao wa Utumishi kwa mujibu wa Katiba ya Dayosisi, wameagwa rasmi na Mhe. Baba Askofu Adrew Petro Gulle Mkuu wa KKKT-Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria katika Ibada ya Siku ya Bwana ya 13 ya Utatu Jumapili tarehe 03/09/2023 katika Kanisa la KKKT-Imani Kanisa Kuu. ............."Tena Mtu akinitumikia Baba atamheshimu". (Yohana 12:26)