IBADA YA MAOMBI YA DUNIA WANAWAKE CCT

Wanawake wa Ofisi kuu wameungana na wanawake wa kanda ya Mwanza Kati CCT kushiriki kwa njia ya uimbaji maadhimisho ya siku ya maombi ya dunia leo Machi 6 2026 katika kanisa la Baptist-Kona ya Bwiru Neno kuu katika ibada hii ni Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizingo nami nitawapumzisha Ibada hii imeanza na maandamano kutoka Kanisa la Angelikana Kirumba hadi kanisa la Baptist Kona ya bwiru