IBADA YA MAOMBI YA WANAWAKE 2023

Ibada ya Maombi ya Wanawake ngazi ya Dayosisi 2023 iliyofanyika katika Usharika wa Neema Nyegezi ikiambatana na Maonyesho ya kazi za mikono zinazofanywa na Wanawake wa Majimbo yote nane (8) ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria. Neno Kuu: Matumizi ya Ulimi Marko 7:31-37