Ibada ya Shukrani (Rev. Zakayo Maliganya) na familia kutimiza miaka 10 tangu kubarikiwa kuwa Mchungaji.

Familia ya Mchungaji Zakayo Maliganya Kiongozi wa Usharika wa Yeriko Magu katika ibada ya Jumapili tarehe 30/07/2023 Usharika wa Yeriko Magu wametoa shukrani kwa Mungu kutimiza miaka 10 tangu kubarikiwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Pongezi nyingi kwa Mchungaji na Familia. Hongera kwa Utumishi Uliotukuka!