Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Dini Ikulu ndogo Mkoani Mwanza. Viongozi wa Dini wamemwombea dua ya kheri katika kuliongoza Taifa la Tanzania muda mchache kabla ya kwenda kuhudhuria Tamasha la Utamaduni Bulabo tarehe 13 Juni 2023 . Kutoka Kushoto (3) ni Mhe. Baba Askofu Andrew Petro Gulle Mkuu wa KKKT-Dayosisi mashariki ya Ziwa Victoria.