Kituo cha Ushauri wa kisaikologia cha KKKT-DMZV kimefanya semina kwa Vijana katika majimbo ya DMZV

Watumishi wa kituo hicho wametoa elimu kwa vija wa KKKT-DMZV kuhusu maswala ya Afya ya Akili na Uchumi kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaopitia changamoto ili wajue chanzo na namna ya kutatua pamoja na kupata elimu ya kuwawezesha kujiimarisha kiuchumi