MAHAFALI YA XII YA CHUO CHA BIBLIA CHA KILUTHERI NYAKATO

Picha Matukio mbalimbali katika Mahafali ya XII (kumi na mbili) ya chuo cha Biblia cha Kilutheri Nyakato KKKT-Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria yaliyofanyika Alhamisi tarehe 14/12/2023 chuoni. Jumla ya Wahitimu = 52 Wainjilisti = 13 Parish Worker = 3 Watheolojia ngazi ya Astashahada/cheti = 29 Watheolojia ngazi ya Stashahada/Diploma = 7 #Pongezi nyingi kwa Wahitimu wote. Mungu awatangulie katika Utumishi wenu Shambani mwa Bwana.