MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2024

Mhe. Baba Askofu Andrew Petro Gulle Mkuu wa KKKT-Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria anawatakia watu wote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2024. Tusherekee kwa Amani na Upendo.