Wachungaji KKKT-Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria wamepata nafasi ya kushiriki Darasa la Mafunzo Kwa wachungaji (PASTORAL LEADERSHIP INSTITUTE INTERNATIONAL CONFERENCE) katika Usharika wa Martin Luther kwa muda wa siku nne (4) kuanzia TAREHE 24-27/06/2024