SIKU YA MWANAMKE

Idara ya Jinsia na Maendeleo Kitengo cha Wanawake Kinakuletea Sherehe ya Siku ya Mwanamke itakayofanyika Jumamosi tarehe 24/06/2023 kuanzia Saa 4:00 asubuhi hadi Saa 12:00 Jioni katika Ukumbi wa RE-MERIDIAN NYAKATO..