TIMU YA ASKOFU NA WAHUBIRI KATIKA MTAA WA KAKUBILO MKOANI GEITA

TIMU YA ASKOFU NA WAHUBIRI SASA KATIKA MTAA WA KAKUBILO MKOANI GEITA: Ikiwa ni juma la Mission KKKT -DAYOSISI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA Timu ya Askofu na Wahubiri chini ya Ofisi ya Msaidizi wa Askofu Idara ya Uinjilisti Misioni na Uwakili inaendelea kutimiza dhima ya Dayosisi ya " Kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa maneno na matendo Katika mikoa ya Mwanza, Geita na Kwingineko. Na sasa timu ipo katika Mtaa wa KAKUBILO MKOANI GEITA. Mkutano mkubwa unaendelea katika eneo Hilo. #TwekaMpakaKilindini