UGAWAJI VYETI KWA WAHITIMU WA ETE

Msaidizi wa Askofu wa KKKT-DMZV Dean Stephen Ling'hwa John leo Aprili 01 amegawa vyeti kwa wahitimu wa ETE na kufunga semina hiyo iliofanyika kwa siku tatu katika shule ya Kassa Charity Pre&Primary School iliyopo Kisesa-Kanyama.