Uwekaji Jiwe la Msingi Usharika wa Makedonia-Kishiri
Tarehe 15/01/2023 Jumapili katika Usharika wa mazoezi MAKEDONIA KISHIRI imefanyika ibada Baba Askofu Andrew Petro Gulle akishirikiana na watumishi wengine yenye matendo yafuatayo:
Siku ya Bwana ya 2 baada ya UFUNUO (Epifania)
Kuzindua mradi wa maji.