UZINDUZI WA MRADI WA HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO 03/07/2023 DODOMA
Matukio mbalimbali yakiendelea katika tukio la uzinduzi wa mradi wa Hapana Marefu yasiyo na Mwisho jijini Dodoma katika Ukumbi wa Morena Hotel.
Mradi huu umelenga kumjengea uwezo Binti na Mwanamke kuwa Thabiti.