M&E

Kitengo kina sera ya ufuatiliaji na tathmini

Kuwa Dayosisi inayotekeleza kazi zake kwa wakati na kuzingatia mifumi dhabiti 

- Kuwajenge watumishi uwezo juu ya ufuatiliaji na utathmini kwenye ngazi zote za DMZV (Majimbo, Sharika na Dayosisi)

-Kufuatilia maendeleo ya kazi za usharika

- Kufanya tathmini za miradi na kazi za usharika

- Kutoa taarifa zilizochambuliwa kwaajili ya matumizi ikiwemo maamuzi na kupanga 

- Kuandaa miongozo mbalimbali ya ufuatiliaji pamoja na SOPs

ESSAU KANYONI, Mobile: 0623 850 509

UPCOMING EVENTS

Apr 29

HALMASHAURI KUU YA DAYOSISI

Wednesday 03:29 PM

Details →

Mar 6

Maombi ya Dunia

Friday 10:00 AM

Details →