Kitengo cha muziki ni kitengo chini ya idara ya Uinjilisti Misioni na Uwakili unahusika na maswala ya nyimbo za ibada, kwaya, muziki n.k
Kitengo kimejiwekea leongo la kuwa na muziki na uimbaji wa kikanisa ulioboreshwa kwa kuzingatia misingi ya Kilutheri ifikapo mwaka 2029.
-Kusomesha na kuajiri walimu wa muziki
-kuratibu uimbaji
-Kutoa mafunzo ya muzuki
-Kufanya vikao vya kwaya
-Kuratibu ufudhishaji wa somo la ibada na muziki katika chuo cha Kilutheri Nyakato
-Kuanzisha studio na kurikodi nyimbo za kitabuni na kuzisambaza kwa njia mbalimbali
-Kuendelea kuboresha sera ya Muziki kulingana na uhitaji