STEWARDSHIP

Kitengo cha uwakili ni kipya, mpaka mwaka 2023 kitengo hakikuwepo, kazi zake zilikuwa zikifanywa na idara ya Uinjilisti, Missioni na Uwakili. 

Kitengo kimejiwekea lengo  la kuhakikisha kwamba Umiliki, Utoaji, Utunzaji na Utumiaji wa rasilimali za familia  na Dayosisi umeongezeka

- Kutoa mafundisho ya uwakili kulingana na theolojia ya kilutheri

-Kuandaa mtaala wa mafunzo ya uwakili katika Dayosisi

-Kutoa mafundisho ya kukubaliana na mabadiliko ya tabia nchi

-Kuratibu tolea la kutunza watumishi Dayosisi

-Kuwa mkuu wa kitengo na kamati ya kitengo

-Kuanda sera ya kitengo cha uwakili

Dean Stephen Ling'hwa John Mobile: +255 756 809 768

UPCOMING EVENTS

Jan 11

SEMINA NA MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA

Sunday 03:00 PM

Details →

Oct 19

MASHINDANO YA UIMBAJI

Sunday 09:00 AM

Details →