CHRISTIAN EDUCATION

 Kuwa na ongezeko la shule kwa ngazi zote na wanafunzi waliofikiwa na elimu ya kikristo 

·       Kuratibu ufundishaji elimu ya kikristo

·       Kuandaa na kupitisha mwongozo wa elimu ya kikristo dayosisi

·       Kuratibu Bible study ya mfano

·       Kutoa mafunzo kwa walimu wa elimu ya Kikristo.

 

·       Kununua vifaa vya kufundishia elimu ya kikristo

·       Kuratibu mafundisho kwa wanafunzi wa kipaimara

·       Kufanya vikao ya kamati

REV. MALTE LEI Mobile: +255 742 578 279

UPCOMING EVENTS

Apr 29

HALMASHAURI KUU YA DAYOSISI

Wednesday 03:29 PM

Details →

Mar 6

Maombi ya Dunia

Friday 10:00 AM

Details →