LAND

Kuwa na ardhi itakayoongezwa na kumilkiwa kisheria na kuendelezwa kwa matumizi yaliyokusudiwa

·       Kuratibu ununuzi wa viwanja na kulipia vibali vyote

·       Kuandaa michoro na matumizi ya viwanja (Kijiji cha Kilutheri, Kapripoint, Nyegezi etc)

·       Kuratibu upandaji wa miti

·       Ununuzi wa maeneo ya maziko

·       Kuratibu ujenzi na ukamilishaji wa miundo mbinu

·       Kuratibu ukarabati wa miundombinu

Joygrace Rogate Shoo Mobile: +255 764 589 855 - shoojoygrace5@gmail.com

UPCOMING EVENTS

Jun 20

KKKT-MARATHON 2026

Saturday 08:42 AM

Details →

Aug 26

DAY TRIP AT SERENGETI NATIONAL PARK

Wednesday 02:45 PM

Details →