CHARMING BUNGALOW

Kuwa mahali palipowezeshwa kutoa huduma bora na kujiendesha kibiashara na kuchangia pato la dayosisi

·       Kutengeneza geti la kuingia charming, kurekebisha fensi eneo lote kuanzia getini na kuweka kibanda cha mlinzi

·       Kuweka vigae (paving stone) eneo la mapokezi

·       Kuweka mfumo wa umeme wa jua (solar)

·       Kufunga simu za mezani (land line) charming Bungalow

·       Kujenga sehemu za kukaa nje kwenye bustani(wooden) na kuboresha mandhari ya nje.

·       Kuweka electronic sign board(3D) kwaajili ya matangazo ikionyesha huduma zinazopatikana.

·       Kujenga vyumba vingine vya kulala

·       Kujenga sehemu ya kufulia (laundry) na kununua machine kubwa ya kufulia

·       Kununua simu ya kiganjani na desktop kwaajili ya matumizi ya ofisi

·       Kuongeza taa za nje charming bungalow

·       Kuongeza samani katika hoteli

·       Ujenzi na ukamilishaji wa ujenzi wa Coffee longe

·       Kuitangaza kampuni

IMANI JONATHAN, Mobile: +255 713 977 477

UPCOMING EVENTS

Mar 6

Maombi ya Dunia

Friday 10:00 AM

Details →

Jan 11

SEMINA NA MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA

Sunday 03:00 PM

Details →