Kuwa kampuni ya kitalii inayotoa huduma zenye ubora na endelevu kwa kupokea wageni wa ndani na nje ya nchi na kuchangia pato la dayosisi
· Kurekebisha gari liwe la kisasa Zaidi
· Kununua gari la kitalii la kisasa
· Kusafirisha watalii
· Kutoa matangazo ya kampuni ya utalii
· Kuandaa na Kushiriki maadhimisho ya biashara ya kitalii (Trade fair)
· Kuandika miradi kupata ufadhili
· Kushiriki semina za mafunzo za kujengewa uwezo kuhusu uendeshaji biashara ya kitalii
· Kuajiri dereva kwaajili ya safari za kitalii