Uzinduzi utaanza rasmi Saa 02:00 asubuhi hadi 08:00 mchana. Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Baba Askofu Adrew Petro Gulle Mkuu wa KKKT-Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria.
Kauli Mbiu: "Tuwe Mawakili wema katika Utunzaji wa Mazingira" (Mwanzo 2:15)
WATU WOTE MNAKARIBISHWA............!